Majukumu ya Idara ya Mifugo na Uvuvi
Kutekeleza sera ya uvuvi.
Uhifadhi wa samaki na viumbe wengine wa majini na mazingira yao.
Kuratibu na kusimamia uhifadhi wa mazingira.
Kuendeleza uvunaji endelevu wa samaki na viumbe wengine wa baharini, maziwa, mito, mabwawa na malambo.
Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu uvuvi bora, utengenezaji na uhifadhi bora wa samakina mazao ya uvuvi, biashara na masoko ya samaki pamoja ufugaji wa samaki na viumbe wengine wa majini.
Kutoa leseni za uvuvi.
Kuendesha mafunzo ya taaluma ya uvuvi.
Kusimamia na kutekeleza sharia za uvuvi (k.m kuzuia uvuvi haramu).
Kusimamia ukusanyaji wa takwimu za uvuvi pamoja na maduhuli.
Kuratibu shughuli za utafiti wa uvuvi.
Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ta uendelezaji na matumizi enelevu ya rasilimali za uvuvi.
Kukagua ubora wa samaki na mazao ya uvuvi na kuweka viwango vya kitaifa.
Kutembelea Tovuti ya wizara ya Mifugo na Uvuvi, bonyeza http://www.mifugouvuvi.go.tz/
Uvuvi unaokubalika na Usiokubalika , bonyeza http://www.mifugouvuvi.go.tz/faqs
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa