• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
BUSEGA DISTRICT COUNCIL
BUSEGA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busega

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Dhamira
      • Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Utawala na Utumishi
        • Mipango, Takwimu na Ushirika
        • Elimu Msingi
        • Afya
        • Maendeleo ya Jamii na ustawi wa jamii na Vijana
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maji
        • Elimu Sekondari
        • Ardhi na Maliasili
        • Fedha na Biashara
        • Ujenzi na Zimamoto
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Sheria
        • Kitengo cha Ugavi
        • Uchaguzi
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Afya
    • Elimu
    • Maji
      • Kilimo
        • Kilimo
    • Kilimo
      • Kilimo
    • Mifugo
    • uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya, Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya W\heshimiwa Madiwani
        • Kuonana na Mwenyekitiwa Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali za Maombi
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Maendeleo
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Elimu Msingi

Majukumu ya  Idara ya Elimu msingi

Idara ya Elimu msingi ina majukumu yafuatayo:-

  • Kuwakilisha Wizara ya Elimu na TAMISEMI katika ngazi zote
  • Kufafanua na kusimamia utekelezaji wa sera ya Elimu , sheria na kanuni katika Elimu ya watu wazima na ufundi stadi
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa Halmashauri ya wilaya kuhusu masuala yote ya kielimu.
  • Kudhibiti matumizi ya fedha za Elimu kwa mujibu wa miongozo ya fedha za serikali.
  • Kushughulikia upanuzi wa Elimu katika ngazi ya Elimu ya Awali, Elimu ya Msingi, Elimu ya Watu Wazima, mafunzo ya Ualimu na vituo vya ufundi stadi.
  • Kufuatilia kwa madhumuni ya kutathmini maendeleo ya Elimu katika wilaya.
  • Kutayarisha na kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu  kila mwaka.
  • Kuhakikisha kwamba shule zote zinaboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia.
  • Kuhimiza udhibiti na na nidhamu ya walimu na wanafunzi wilayani.
  • Kusimamia maslahi ya walimu
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya darasa la Pili, la Nne na la Saba , mafunzo ya ualimu na mitihani ya vituo vya ufundi stadi katika wilaya kwa kushirikiana na uongozi wa Mkoa na Baraza la Mitihani la Tanzania.
  • Kufuatilia utekelezaji wa taarifa za ukagizi wa shule na vyuo.
  • Kusimamia maendeleo ya Taaluma na michezo katika wilaya.
  • Kukusanya, kuratibu na kuchambua takwimu za Elimu katika wilaya kwa ajili ya Mipango ya Maendeleo katika ngazi ya shule, wilaya, mkoa na Taifa.
  • Ni Katibu wa Kamati ya Elimu ya Halmashauri ya Wilaya kufuatana na kifungu cha 2 cha sheria Na. 25 ya mwaka 1978 na kurekebishwa mwaka 1995.


VIUNGANISHI VISAIDIZI


Kutembelea Tovuti ya Wizara ya Elimu, bonyeza kwenye hiki kiunganishi http://www.moe.go.tz/

Takwimu Huria, Elimu msingi . Bonyeza kwenye hiki kiunganishi  http://education.opendata.go.tz/#/dashboard/primary

Takwimu Huria za Elimu , bonyeza kiunganishi http://opendata.go.tz/sw/organization/ministry-of-education-and-vocational-training

Uhamisho wa Wanafunzi , Kujua Utaratibu bonyeza kwenye hiki kiunganishi  http://www.moe.go.tz/index.php/sw/component/k2/item/354-uhamisho-wa-mwanafunzi

Tanzania School Information System: http://www.fhi360bi.org/user/tanzaniaSIS/

Kuanzisha na Kusajili shule au Mwalimu , bonyeza kiunganishi hiki http://www.moe.go.tz/index.php/sw/component/k2/item/376-kuanzisha-na-kusajili-shule-au-mwalimu

Machapisho ya wizara ya Elimu, bonyeza kiunganishi hiki  http://www.moe.go.tz/index.php/sw/machapisho



 

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi kwa Kada ya Elimu na Afya-TAMISEMI April 20, 2022
  • Majina ya Waliopata Ajira za TAMISEMI Kada ya Afya na Ualimu June 27, 2022
  • Watumishi Wapya wa Kada ya Afya na Ualimu waliopangiwa kuripoti Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Wanaweza kuwasiliana na Maafisa wa Halmashauri kupitia namba za simu zilizopo kwenye Tangazo hili June 27, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi October 07, 2020
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • Watumishi 81 Wapangiwa Kuripoti Wilayani Busega

    June 29, 2022
  • RC Kafulila Aipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Busega kwa Usimamizi Bora wa Matumizi ya Fedha

    June 28, 2022
  • DC ZAKARIA: Tukamilishe Miradi kwa Wakati ili Kufanikisha Azma ya Serikali

    June 08, 2022
  • Chongolo: Tutakwenda Kutatua Tatizo la Uhaba wa Watumishi wa Afya Wilayani Busega

    June 04, 2022
  • Onyesha zote

Video za Shughuli za Kiofisi na kitaifa

Stili Picha Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Salary Slip - Salary Slip Portal
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Wakala ya Serikali Mtandao- eGA
  • Ajira Portal
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Nishati
  • Wizara ya Maji
  • Mamlaka ya Chakula na Dawa -TFDA
  • Tovuti ya TRA

Tovuti Mashuhuli

  • Tovuti kuu ya Serikari
  • Tovuti ya menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria
  • Kanzidata, Masuala ya Uchumi na Jamii Tanzania
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Sekretarieti ya Ajira Tanzania
  • Tovuti ya Wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya TCRA
  • Tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Benki Kuu ya Tanzania
  • Tovuti ya Uhamiaji
  • Tovuti ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini -RITA
  • Tovuti ya Brela
  • Tovuti ya NIDA
  • Tovuti ya Wakala ya Serikali Mtandao- eGA
  • Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
  • Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega

    Sanduku la Posta: 157 BUSEGA

    Simu ya Mezani: +255 282 981 193

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: info@busegadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa