Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Busega, timu ya wataalamu wamefanya ziara katika Halmashauri ya manispaa ya ilemela, mkoani mwanza kujifunza namna ya kuongeza tija ya uongezaji wa mapato.
Ziara hiyo imeongozwa na mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Sundi Muniwe imepata kujifunza namna bora ya kuongeza mapato ikiwemo kutembelea soko la samaki kirumba, imefanyika tarehe 18 Aprili, 2024.
Aidha katika ziara hiyo waheshimiwa madiwani na menejimenti wamejifunza namna ya uandishi wa miradi ambayo inapelekea kupata wafadhili mbalimbali.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa