• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
BUSEGA DISTRICT COUNCIL
BUSEGA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busega

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Dhamira
      • Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Utawala na Utumishi
        • Mipango, Takwimu na Ushirika
        • Elimu Msingi
        • Afya
        • Maendeleo ya Jamii na ustawi wa jamii na Vijana
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maji
        • Elimu Sekondari
        • Ardhi na Maliasili
        • Fedha na Biashara
        • Ujenzi na Zimamoto
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Sheria
        • Kitengo cha Ugavi
        • Uchaguzi
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Afya
    • Elimu
    • Maji
      • Kilimo
        • Kilimo
    • Kilimo
      • Kilimo
    • Mifugo
    • uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya, Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya W\heshimiwa Madiwani
        • Kuonana na Mwenyekitiwa Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali za Maombi
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Maendeleo
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Fedha na Biashara

Idara ya Fedha na Biashara ni miongoni mwa idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Busega.


MAJUKUMU YA IDARA

1. Uimarishaji wa mfumo wa matumizi bora ya raslimali za Halmashauri

  • Kukusanya mapato kutoka vyanzo mbalimbali vya Halmashauri pamoja na kutoa leseni za biashara
  • Kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumizi bora ya fedha kwa kutumia mifumo ya ukusanyaji mapato (LGRCIS) na mifumo funganishi ya Kiuhasibu (EPICOR 10).
  • Kufuatilia na kukusanya mapato yote ya Halmashauri ya Wilaya ambayo kwa sasa tunakusanya kwa kushirikiana na wakuu wa idara wa sekta husika
  • Kutunza kumbukumbu za mali za Halmashauri zisizohamishika pamoja na kuweka mpango madhubuti wa usimamizi wa rasilimali za Halmashauri 


2. Uboreshaji wa utawala bora na huduma za kiutawala

  • Kuandaa taarifa za mapato na matumiziya kila mwezi , Robo mwaka, na kuziwasilisha kwenye vikao vya Halmashauri, RAS, Ofisiya Raisi –TAMISEMI na Wizara ya Fedha.
  • Kuandaa Bajeti ya Halmashauri kwa kufuata miongozo ya uandaaji wa Bajeti inayotolewa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na wakuu wa idara na vitengo
  • Kuandaa Hesabu za Mwisho za fedha kwa kutumia mfumo wa Viwango vya kimataifa vya uandaaji wa Taarifa za fedha za Umma (IPSAS) na kuziwasilisha kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.
  • Kuandaa malipo , Hesabu na usuluhishi wa Hesabu za Idara na Vitengo  vyote vya Halmashauri
  • Kutunza na kuhifadhi nyaraka mbalimbali za Serikali
  • Kufanya ukaguzi kwenye Hati za malipo


VIUNGANISHI VISAIDIZI


 Takwimu za Mapato katika mfumo wa mapato (LGRCIS), bonyeza kiunganishi hiki    http://197.149.179.125/lgrcd/map.php?region=Simiyu

Mfumo wa usimamizi wa fedha na utoaji wa taarifa za Fedha -FFARS, kiunganishi ni http://ffars.tamisemi.go.tz/

Mfumo wa Bajeti - PlanREP , kiunganishi  http://planrep.tamisemi.go.tz/

Kutembelea Tovuti ya Wizara ya Fedha, tembelea  http://www.mof.go.tz/

Masuala ya Bajeti Wizara ya Fedha, kiunganishi http://www.mof.go.tz/index.php/budget


Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 Halmashauri ya Wilaya ya Busega December 15, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili Mwaka 2022_Wilaya ya Busega January 04, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne Mwaka 2022_Wilaya ya Busega January 29, 2023
  • Tangazo la Nafasi za Kazi October 07, 2020
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Yapongeza Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Busega

    February 24, 2023
  • Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Busega Wapitisha Mapendekezo ya Mpango wa Bajeti Mwaka wa Fedha 2023/2024

    February 14, 2023
  • Mgogoro wa Shamba la Kijiji cha Nyamikoma A uliodumu zaidi ya miaka 15 Wamalizika

    January 11, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI BUSEGA LAITAKA RUWASA KUJIRIDHISHA NA TAKWIMU ZA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA MAJI

    November 18, 2022
  • Onyesha zote

Video za Shughuli za Kiofisi na kitaifa

Stili Picha Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Salary Slip - Salary Slip Portal
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Wakala ya Serikali Mtandao- eGA
  • Ajira Portal
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Nishati
  • Wizara ya Maji
  • Mamlaka ya Chakula na Dawa -TFDA
  • Tovuti ya TRA

Tovuti Mashuhuli

  • Tovuti kuu ya Serikari
  • Tovuti ya menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria
  • Kanzidata, Masuala ya Uchumi na Jamii Tanzania
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Sekretarieti ya Ajira Tanzania
  • Tovuti ya Wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya TCRA
  • Tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Benki Kuu ya Tanzania
  • Tovuti ya Uhamiaji
  • Tovuti ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini -RITA
  • Tovuti ya Brela
  • Tovuti ya NIDA
  • Tovuti ya Wakala ya Serikali Mtandao- eGA
  • Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
  • Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega

    Sanduku la Posta: 157 BUSEGA

    Simu ya Mezani: +255 282 981 193

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: info@busegadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa