• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
BUSEGA DISTRICT COUNCIL
BUSEGA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busega

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Dhamira
      • Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Utawala na Utumishi
        • Mipango, Takwimu na Ushirika
        • Elimu Msingi
        • Afya
        • Maendeleo ya Jamii na ustawi wa jamii na Vijana
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maji
        • Elimu Sekondari
        • Ardhi na Maliasili
        • Fedha na Biashara
        • Ujenzi na Zimamoto
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Sheria
        • Kitengo cha Ugavi
        • Uchaguzi
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Afya
    • Elimu
    • Maji
      • Kilimo
        • Kilimo
    • Kilimo
      • Kilimo
    • Mifugo
    • uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya, Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya W\heshimiwa Madiwani
        • Kuonana na Mwenyekitiwa Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali za Maombi
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Maendeleo
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kilimo na Ushirika

Idara ya Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika ni miongoni mwa idara 13 za Hamashauri ya Wilaya ya Busega ambayo imejikita zaidi katika Masula ya Kilimo, umwagiliji na ushirika.


Majukumu ya Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

 Miongoni mwa majukumu ya Idara hii ni pamoja na :-

  • Kudhibiti  visumbufu vya mazao na mimea.
  • Kukusanya takwimu za bei za mazao ya chakula na biashara kila wiki na kila mwezi.
  • Kukusanya takwimu za upatikanaji wa mazao katika masoko wiki/mwezi.
  • Kuendesha mafunzo ya wataalamu wa kilimo.
  • Kutoa habari juu ya teknolojia mpya kwa wadau mf.mbegu mpya, n.k.
  • Kuandaa/kuandika taarifa za utekelezaji kwa sekta ndogo ya mazao.
  • Kusimamia/kuendeleza taaluma ya uzalishaji mboga, matunda, maua na mazao kusimamia/kuendeleza uzalishaji wa mbegu  na miche bora.
  • Kuandaa, kutayarisha kufunga na kusambaza mbegu/miche bora.
  • Kufanya ukaguzi wa mbegu mpya kwa kushirikiana na watafiti wa mbegu kabla ya kupitishwa.
  • Kuendesha mafunzo ya kuzalisha mboga, matunda, maua na viungo.
  • Kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya bustani.
  • Kufanya utafiti mdogo wa mazao yanayofaa kulimwa katika wilaya.
  • Kufanya utafiti wa udongo.
  • Kuhamasisha uanzishaji wa vikundi vya wakulima /wamwagiliaji.
  • Kuzalisha mbegu za msingi baada ya kuzalishwa na watafiti.
  • Kuendesha mafunzo ya wasambazaji wa pembejeo na kusimamia usambazaji wa pembejeo.
  • Kuandaa mipango na bajeti za sekta ya mazao ngazi ya halmashauri.
  • Kusaidia  kusanifu miradi ya umwagiliaji.
  • Kusaidia kusimamia ujenzi wa miradi mikubwa ya umwagiliaji.
  • Kusimamia ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mazao.
  • Kusaidia kuweka takwimu sahihi za mazingira katika maeneo ya umwagiliaji.
  • Kuandaa/kuratibu sheria za ubora wa zana.
  • Kuhamasisha/kuendeleza kilimo cha maghala bora.
  • Kutunza na kuweka takwimu za hali ya zana katika halmashauri.
  • Kuwashauri wakulima juu ya majengo bora kwa ajili ya ufugaji  na  kuhifadhi mazao.
  • Kuratibu watengenezaji na waagizaji wa zana za kilimo.
  • Kuratibu na kutathmini programu za kuendeleza kilimo cha wanyamakazi,matrekta na mashine.
  • Kuainisha  maeneo yanayofaa kwa kilimo cha umwagiliaji.
  • Kuwafundisha wakulima juu ya kuendesha skim za umwagiliaji.
  • Kuwafundisha wakulima matumizi ya wanyamakazi na matrekta.
  • Kuwatambua watengenezaji zana katika eneo husika kwa ajili ya kuwawezesha.
  • Kufanya ukaguzi wa vyama vya ushirika.
  • Kuhamasisha na kusimamia uanzishwaji wa vyama vya ushirika vya michepuo mbalimbali.
  • Kukusanya na kuchambua takwimu mbalimbali za maendeleo ya ushirika.
  • Kuhifadhi na kuchapisha takwimu mbalimbali za maendeleo ya ushirika.
  • Kufanya uchambuzi wa maombi ya kuandikishwa chama cha ushirika na kutoa mapendekezo yanayostahili.
  • Kufanya uchambuzi wa makisio ya mapato na matumizi ya vyama vya ushirika na kutoa mapendekezo.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 Halmashauri ya Wilaya ya Busega December 15, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili Mwaka 2022_Wilaya ya Busega January 04, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne Mwaka 2022_Wilaya ya Busega January 29, 2023
  • Tangazo la Nafasi za Kazi October 07, 2020
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Yapongeza Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Busega

    February 24, 2023
  • Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Busega Wapitisha Mapendekezo ya Mpango wa Bajeti Mwaka wa Fedha 2023/2024

    February 14, 2023
  • Mgogoro wa Shamba la Kijiji cha Nyamikoma A uliodumu zaidi ya miaka 15 Wamalizika

    January 11, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI BUSEGA LAITAKA RUWASA KUJIRIDHISHA NA TAKWIMU ZA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA MAJI

    November 18, 2022
  • Onyesha zote

Video za Shughuli za Kiofisi na kitaifa

Stili Picha Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Salary Slip - Salary Slip Portal
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Wakala ya Serikali Mtandao- eGA
  • Ajira Portal
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Nishati
  • Wizara ya Maji
  • Mamlaka ya Chakula na Dawa -TFDA
  • Tovuti ya TRA

Tovuti Mashuhuli

  • Tovuti kuu ya Serikari
  • Tovuti ya menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria
  • Kanzidata, Masuala ya Uchumi na Jamii Tanzania
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Sekretarieti ya Ajira Tanzania
  • Tovuti ya Wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya TCRA
  • Tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Benki Kuu ya Tanzania
  • Tovuti ya Uhamiaji
  • Tovuti ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini -RITA
  • Tovuti ya Brela
  • Tovuti ya NIDA
  • Tovuti ya Wakala ya Serikali Mtandao- eGA
  • Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
  • Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega

    Sanduku la Posta: 157 BUSEGA

    Simu ya Mezani: +255 282 981 193

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: info@busegadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa