Miongoni mwa shughuli zinazoendelea katika wilaya ya Busega ni pamoja na zoezi la usajili wa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Zoezi hili linaendelea katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya pamoja na katika ofisi za maafisa watendaji wa kata zote zilizopo wilayani hapa.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa