Unaweza Kupata salary slip ya Mshahara kwa Kubofya kiunganishi hiki ambacho kitakuwezesha kujisajili kwenye mfumo http://salaryslip.mof.go.tz/
Kama ulishajisajili, basi ingiza
1. check number na
2.Password ,
kisha bonyeza neno "Sign in" ili kuingia kwenye mfumo na kuweza kuchukua Salary Slip yako
Kujisajili kwenye mfumo huu, bonyeza kwenye "Register" kisha ingiza taarifa zifuatazo:-
1. Check Number
2. Jina kamili unalolitumia kazini
3. Birth date
4. Vote code na Sub- vote code
5. Bank Account Number
6.Salary Grade, mfano mwenye mshahara wa TGS D2 ; Salary sclale ni "TGS", Salary Grade ni "D" na Salary Step ni "2"
Baada ya Kuingiza hizo taarifa, bonyeza neno "Register" ili mfumo ukusajili
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa