HATUA ZA KUFUATA
1.Hakikisha umesajiliwa kwenye mfumo
Unaweza kusajiliwa kupitia afisa TEHAMA wa Halmashauri uliyopo.
Kuingia kwenye mfumo wa vibali, bonyeza https://safari.gov.go.tz
2.Huisha akaunti yako ya Mfumo
Tumia akaunti yako ya barua pepe za serikali ili kusajiliwa na uweze kuhuisha akauti yako mara baada ya hatua ya kwanza kukamilika
3.Ingia na chagua kiungo cha kibali cha Kusafiria
Upande wa kushoto mwa mfumo kuna machaguo,chagua kiungo cha kibali cha kusafiria kisha chagua Omba kibali.
4.Jaza Fomu kwa kufuata hatua namba 1 mpaka namba 5 .
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu ,bonyeza wasilisha kukamilisha maombi ya kibali
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa