Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwafahamisha watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega kushiriki kikamilifu katika zoezi la utengenezaji wa Vitambulisho vya Kazi linaloendelea katika Vituo vyenu vya kazi. Aidha kila mtumishi anapaswa kuhakikisha anatoa taarifa zake sahihi ikiwa ni Majina. Cheki Nsmba na Cheo. Kitambulisho ni haki yako utakipata bila gharama yoyote.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa