Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa za kuomba nafasi mbili (02) za kazi za Mkataba kwa nafasi ya Fundi Sanifu Ujenzi Daraja II (Civil Technician II).
Bofya kiunganishi cha Bluu hapo chini kupata tangazo
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa