Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega amepokea kibali cha ajira mbadala cha tarehe 01 Februari, 2021 chenye Kumb. Na. FA.l70/533/01 B/ 34, kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, hivyo anawatangazia Watanzania wote wenye Sifa na uwezo wa kujaza nafasi moja (01) ya kazi kwa kada iliyoainishwa.
Kupata Tangazo Bofya Kiunganishi hiki : TANGAZO LA AJIRA._BUSEGApdf
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa