Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Busega amepokea Kibali cha Ajira Mbadala kwa barua ya tarehe 30 Julai 2019 yenye Kumb. Na. FA.170/533/01/34 kutoka kwa Katibu Mkuu, ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kwahiyo, anawatangazia Watanzania wote wenye Sifa na uwezo wakujaza nafasi 04 za kazi kwa kada mbalimbali kama zilivyoorodheshwa kwenye tangazo.
Tangazo la kazi BOFYA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.pdf
Au
Bofya hapa Nafasi za kazi
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa