Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Busega anawatangazia wasailiwa walio katika kiambata hapo chini kuripoti kazini siku ya tarehe 10 Novemba, 2017, hii ni baada ya kufaulu usaili uliofanyika 25 Semptemba, 2017 kwa nafasi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji-III katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halamshauri ya Wilaya ya Busega.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa