Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Busega anawafahamisha watumishi wote waliopata mafunzo ya Mfumo wa FFARS kuanza kuingiza taarifa za fedha yaani mapato na matumizi ya Facilities zenu kuanzia mwezi Julai, 2017.
Aidha, kwa wale watakutana na changamoto wanatakiwa kufika katika ofisi ya msimamizi wa mifumo ya tehama
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa