Saturday 12th, July 2025
@NYASHIMO, BUSEGA
Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara wilayani Busega siku ya tarehe 6/03/2020. Makamu wa raisi atadhuru Wilayani Busega kikazi na anatarajia kufungua tawi la Benki ya NMB Wilaya ya Busega na baadae kuendelea na ratiba zingine za kiserikali. Pamoja na ziara hiyo wilayani Busega, pia makamu wa raisi atafanya ziara ya siku tatu mkoa wa Simiyu ambapo ziara hiyo itaanza tarehe 6-8 Machi 2020, ambapo pia atakuwa mgeni rasmi wa siku ya Mwanamke Duniani ambayo kitaifa inafanyika Mkoani Simiyu.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa