Kutokana na Tangazo la Nafasi za Kazi la Tarehe 11 Februari, 2021, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anatarajia kuendesha Usaili na hatimae kumpangia kituo cha kazi mwombaji atakaye faulu usaili. Usaili wa Mchujo utafanyika tarehe 22 Aprili, 2021 kuanzia saa 2:30 Asubuhi na Usaili wa Mahojiano (kwa watakaofanikiwa) utafanyika tarehe 23 Aprili, 2021 katika Ukumbi wa Shule ya Msingi Nyashimo (TRC).
Kuona Orodha ya Majina tafadhali Bofya Kiunganishi cha Bluu
Kiunganishi 1: Orodha ya Majina.pdf
AU
Kiunganishi 2: Orodha ya Majina
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa