Kutokana na Tangazo la Nafasi za Kazi lenye kumbukumbu Na. BDC/A.30/72/59 la tarehe 21 Septemba, 2020, Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Busega anatarajia kuendesha usaili kwa walioomba nafasi za usimamizi wa uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba.
Kuona Majina Bofya Link Hii MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI
AU
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa