Posted on: February 13th, 2021
Kamati ya Siasa Wilaya ya Busega imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa. Kamati hiyo ilifanya ziara ya siku mbili kati ya tarehe 12 hadi 13 Februari 2021 ya kutembel...
Posted on: February 10th, 2021
Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Busega (DCC) imepitia na kushauri rasimu ya bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Busega ya mwaka wa fedha 2021/2022. Kikao cha kamati hiyo kimefanyika tarehe 9 Februari 20...
Posted on: February 7th, 2021
Katibu Tawala Wilaya ya Busega Bw. Rutagumirwa Rutalemwa ameweza kukutana na kuongea na watumishi umma kwa lengo kuu la kusikiliza changamoto na kero zinazowakabili katika utekelezaji wa majukumu yao ...