MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka ameagiza ofisi ya katibu tawala mkoa kutuma wataalamu wa kilimo kuchunguza funza wanaodaiwa kuharibu mahindi na mtama mkoani humo. Inaelezwa kuwa funza hao wamesambaa mkoa mzima huku wakiharibu mazao hayo kwa wingi katika wilaya za Busega, Itilima, Bariadi na Meatu.
Mtaka alitoa agizo hilo kwenye kikao kamati ya ushauri ya mkoa baada ya wajumbe wa kikao hicho wakiwamo wenyeviti wa halmashauri kulalamikia uharibufu unaofanywa na wadudu hao
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa