Wanafunzi wa Darasa la Saba waliofaulu mwaka 2022 katika Halmashauri ya Wilaya Busega ni 6892.
Wanafunzi wote waliofaulu wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza Mwaka 2023 katika Shule mbalimbali hapa nchini. Wapo waliochaguliwa kujiunga na shule za Bweni Maalum (Special schools), Bweni Ufundi (Technical schools), Bweni Kitaifa (National Boarding schools) na Kutwa (Day schools).
Kupata orodha ya wanafunzi wote waliochaguliwa Bofya kiunganishi hapo chini
Kiunganishi 1: Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Kiunganishi 2: Bweni maalum (special-schools).pdf
Bweni Ufundi (technical-schools).pdf
Bweni Kitaifa (national-boarding-schools).pdf
WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SHULE ZA KUTWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA
ANTONY MTAKA SECONDARY SCHOOL.pdf
DR.CHEGENI SECONDARY SCHOOL.pdf
IGALUKILO SECONDARY SCHOOL.pdf
IMALAMATE SECONDARY SCHOOL.pdf
KIJELESHI SECONDARY SCHOOL.pdf
KISHAMAPANDA SECONDARY SCHOOL.pdf
MWAMAGIGISI SECONDARY SCHOOL.pdf
NYALUHANDE SECONDARY SCHOOL.pdf
VENANCE MABEYO SECONDARY SCHOOL.pdf
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa