Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwatangazia Wananchi wote walioomba kununua Viwanja Vilivyopo Eneo la Nyanza kumaliza Madeni yao.
Kuona Tangazo Bofya Kiunganishi Kimojawapo hapo chini:
Kiunganishi 1: Tangazo la Madeni ya Viwanja_Busega
AU
kiunganishi 2: Tangazo la Madeni ya Viwanja_Busega
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa