Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwatangazia Wananchi wote walioomba kununua Viwanja Vilivyopo Eneo la Nyanza kumaliza Madeni yao.
Tangazo hili limeambanisha na Orodha ya Majina ya Wadaiwa wa Viwanja amabo hawajamalizia Malipo.
Kuona Majina Bofya Kiunganishi Kimojawapo hapo chini:
KIUNGANISHI 1: Majina ya Wadaiwa
AU
KIUNGANISHI 2: Majina ya Wadaiwa
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa