Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Busega anawatangazia Waandikishaji Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR) kuhudhuria kwenye usaili kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Jimbo la Busega. Kupata Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili Bofya MAJINA YA USAILI_Uboreshaji Daftari NEW.pdf
Aidha, Tangazo hili linapatikana kwenye mbao za matangazo kwenye ofisi za Kata.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa