Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega kuomba nafasi ya MTEKNOLOJIA MSAIDIZI-MAABARA ambayo itakuwa ya mkataba kwa muda wa mwaka mmoja. Kusoma tangazo lote bofyaTANGAZO LA KAZI 23 FEB 2018.pdf
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa