Sunday 6th, July 2025
@Viwanja Shule ya Msingi Itongo, Lamadi
Lamadi Utalii Festival ni Tamasha ambalo limefunguliwa tarehe 29/12/2019 katika viwanja vya Shule ya Msingi Itongo iliyoko Lamadi kwa lengo la kutangaza Utalii wa ndani na kutoa elimu juu ya fursa za uwekezaji Wilayni Busega. Lamadi Utalii Festival ni tukio litakalofanyika kila Jumapili ya Mwisho wa Mwezi. Tamasha hilo litakalofanyika kwa siku nne (4) kuanzia tarehe 29/12/2019 mpaka 1/1/2020 limefunguliwa na Mh. Naibu Waziri wa Utalii, Costantine Kanyasu
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa