Friday 19th, April 2024
@
Ndugu wananchi wote mnakumbushwa kuwa kila jumamosi ya mwisho wa mwezi ni siku ya kufanya usafi katika mazingira yote yanayotuzunguka. Tarehe 31 ya mwezi huu wa tatu ,itakuwa ni jumamosi ya mwisho wa mwezi wa tatu , hivyo tunakumbushwa kuitumia siku hiyo kufanya usafi katika mazingira yetu.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa