Zoezi la Uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura litafanyika kwa siku nne kuanzia tarehe 17 hadi 20 Juni, 2020, Hivyo wananchi wanatakiwa kufika vituo vilivyotumika wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwaajili ya kuhakiki taarifa zao.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa