Kutokana na Tangazo la nafasi za kazi lenye Kumb.Na. BDC/C.30/17/58 la tarehe 06 Mei, 2020 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anatarajia kuendesha Usaili kuanzia tarehe 8 hadi 9 Julai 2020 na hatimae kuwapangia vituo vya kazi waombaji watakao faulu usaili.
Kupata tangazo bofya hapa KUITWA KWENYE USAILI BUSEGA DC.pdf
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa